Swahili:
Shalom! Tunaalikwa kushiriki katika tamasha hili kubwa la ukombozi na uponyaji, lililoandaliwa kwa pamoja na Makanisa ya Ulaya. Kumbuka kwamba Yesu ni yeye yule jana, leo, na hata milele. Yeye aliyemponya mwanamke aliyekuwa akitokwa na damu kwa miaka kumi na miwili anaweza pia kuponya ugonjwa wako. Labda sasa ni wakati wako. Usikose fursa hii.
Mkusanyiko utafanyika Copenhagen, katika anwani iliyoonyeshwa kwenye kijikaratasi hiki. Karibu!
English :
Shalom! We are invited to participate in this great festival of deliverance and healing, jointly organized by the Churches of Europe. Remember that Jesus is the same yesterday, today, and forever. He who healed the woman who had been bleeding for twelve years can also heal your illness. Perhaps now is the time for you. Don’t miss this opportunity.
The gathering will take place in Copenhagen, at the address indicated on this leaflet. Welcome.
Francais:
Shalom! Nous sommes invités à participer à ce grand festival de delivrance et de guérison, préparé conjointement par les Églises d’Europe. Souvenez-vous que Jésus est le même hier, aujourd’hui et éternellement. Celui qui a guéri la femme souffrant de coulement du sang depuis douze ans peut aussi guérir votre maladie. C’est peut-être le moment pour vous. Ne manquez pas cette occasion.
La rencontre aura lieu à Copenhague, à l’adresse indiquée sur ce dépliant. Bienvenue.
FAITH 2026 – Where lives are transformed and faith comes alive.


